Thursday , 9 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Maji kukoseka saa 24 Vigwaza, Buyuni, Dawasa yawaomba radhi
Habari Mchanganyiko

Maji kukoseka saa 24 Vigwaza, Buyuni, Dawasa yawaomba radhi

Bomba la maji
Spread the love

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza ukosefu wa maji kwa saa 24 kwa wakazi wa maeneo ya Vigwaza hadi Buyuni Mji wa Chalinze mkoani Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi tarehe 30, 2020 na Ofisi ya Mawasiliano ya Dawasa imesema huduma hiyo itakosekana kuanzia leo hadi kesho Jumapili tarehe 31 Mei, 2020.

Katika taarifa hiyo imeeleza, sababu ya ukosefu wa majisafi ni kuhamisha bomba ili kupisha upanuzi wa barabara katika eneo la Mizani ya magari Vigwaza.

Maeneo yatakayoathirika ni Vigwaza, Visezi na Buyuni. Dawasa imewaomba radhi wananchi wa maneno hayo kwa kwa usumbufu utakaojitokeza.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Spread the loveMdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Spread the loveKisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi...

error: Content is protected !!