Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Magufuli ateua mwenyekiti TSC
Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua mwenyekiti TSC

Rais John Magufuli
Spread the love

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Willy Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (Teachers’ Service Commission – TSC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa tarehe 8 Mei 2020 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema uteuzi wa Dk. Komba umeanza leo.

Dk Komba ni Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na amechukua nafasi iliyoachwa na Oliver Mhaiki ambaye amemaliza muda wake.

Mhaiki aliongoza TSC kuanzia tarehe 27 Julai 2016 alipoapishwa na Rais Magufuli kushika wadhifa huo shughuli iliyofanyika Ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dodoma.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

Spread the loveWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

Spread the love  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

error: Content is protected !!