WATOTO 34 wamezaliwa mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, leo Jumamosi tarehe 25 Desemba 2021. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea).
Afisa Muuguzi msaidizi, Dk. Ayubu Mbele amesema kati ya watoto 34, wakiume ni 14 na wakike 20.
Aidha amesema, waliojifungua kwa njia ya kawaida ni 28 huku sita wakifanyiwa upasuaji na wote wanaendelea vizuri na watoto wao.
Leave a comment