Meridianbet wameendelea kua na ushirikiano na wakazi waKibaha kwani leo tena wamefanikiwa kufika eneo hilo nakutoa msaada kwa wakazi wa hapo. Utamaduni huo...
By Mwandishi WetuJune 22, 2024BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetambulisha safu mpya za viongozi watakaoongoza baraza hilo kwa miaka mitatu hadi 2027 huku aliyekuwa Katibu Mkuu...
By Gabriel MushiJune 22, 2024Cheza na Ushinde bonasi ya kasino kupitia michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, lakini lazima iwe michezo ya Expanse inakupa bonasi hadi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Shirika la Reli Tanzania (TRC) yanatoa fursa kwa shirika kwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri Elipidius Rwegoshora kutokana na tuhuma za kuhusika katika mauaji ya mtoto Asimwe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024KATIBU Tawala wa mkoa wa Morogoro Dk. Musa Ally Musa amewataka wadau wa mazingira kuzingatia suala la upandaji miti kwa ajili ya utunzaji...
By Christina HauleJune 21, 2024Serikali imeahidi kuungana na Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM), wakulima kutumia njia mbadala ya matumizi ya madawa kwenye uzalishaji wa...
By Gabriel MushiJune 21, 2024Hali ya simanzi imetanda katika kijiji kimoja huko Kapsabet kaunti ya Nandi nchini Kenya baada ya Ofisa wa Jeshi la nchini hiyo (KDF)...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) jana Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 (Sh trilioni 2) kwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa katika maandamano yaliyofanyika jana Alhamisi na kuenea nchini Kenya kupinga mapendekezo muswada tata...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba wadau wa sekta ya habari kuwa na imani naye kuhusu vifungu 12...
By Mwandishi WetuJune 21, 2024Unaijua Kasino wewe!? Je, ni mara ngapi umewahi kupigwapesa zako? Sasa usiwaze tena kuhusu kuliwa tu, Kasino yaMeridianbet mtandaoni inakurudishia 10% ya kileunachopoteza...
By Mwandishi WetuJune 20, 2024Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku kila timu ikihitaji pointi tatu muhimu kwenye mechi hizi za pili. Wewe unaihitaji...
By Mwandishi WetuJune 20, 2024Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau na Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Umaro Sissoco Embaló...
By Gabriel MushiJune 20, 2024WANUNUZI wa madini ya dhahabu mkoani Songwe wamempongeza Rais Samia SuluhuHassan kwa kufanya mapinduzi ya kiuchumi katika sekta hiyo kwa kuiwezesha kupaa maradufu...
By Mwandishi WetuJune 20, 2024MADEREVA wawanaosafirirsha abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), wametakiwa kuendelea kufanya shughuli zao kwa umakini kwa kuwa kazi hiyo ndiyo inayowapa riziki ya kuendesha...
By Mwandishi WetuJune 20, 2024HUSSEIN Mohammed Bashe, waziri wa Kilimo, amekiweka pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuatia kuibuka kwa madai kuwa ameshiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024HATIMAYE Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa tisa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya mtoto Asimwe Novart mwenye ualbino, wakiwa wamevihifadhi katika vifungashio vya...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024WASHINDI wa Kampeni ya Weka, Tumia na Ushinde Kutoka Benki ya NMB, leo Jumatano wamekabidhiwa zawadi huku umati mkubwa wa wakazi wa Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na washirika wengine wa maendeleo wamekuwa msaada mkubwa katika kusaidia Ajenda ya Nishati Safi ya...
By Mwandishi WetuJune 19, 2024ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Gospel Christ Church Tanzania (GCCT) Dk. Daud Chidawali amekemea vikali vitendo vya baadhi ya watu wenye imani...
By Danson KaijageJune 19, 2024SHIRIKISHO la Wenye Viwanda (CTI), limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka bajeti inayojali kusisimua ukuaji wa viwanda na biashara nchini. Anaripoti Na...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Igunga mkoani Tabora, waliogawiwa pikipiki kwa ajili ya shughuli za chama wilayani humo, wametakiwa kufuata...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024MDAU wa maendeleo mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro amechangia kiasi cha Sh. milioni moja kwa ajili ya kuunganisha maji na kukarabati bweni la wanafunzi...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024Kasino Inalipa sana! Watu wengi wametajrika kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sababu kubwa zipo mbili, kwanza ni rahisi kucheza kasino,...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto huku vichapo navyo vikiendelea kutembea kama kawaida. Suka jamvi lako na mabingwa wa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan ametoboa siri namna alivyomsitiri kaka yake kwa kumlipia kodi, usafiri na matumizi mengine kwa muda wa zaidi ya miezi...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024Mwenyekiti wa Kamati ya kufuatilia hali ya uchumi wa vyombo vya Habari, Tido Mhando amesema kutokana na mazingira magumu ya kisheria na kisiasa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chamalila amemthibishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa sasa ameacha ubabe na kuwataka viongozi wengine wa...
By Gabriel MushiJune 18, 2024MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chamalila amemthibishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa sasa ameacha ubabe na kuwataka viongozi wengine wa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2024Endelea kucheza kasino ya mtandaoni na uwe tajiri! Expanse Tournament inatoa mzigo mkubwa wa washindi 40, jishindie bonsai za kasino kwa kushiriki michezo...
By Mwandishi WetuJune 17, 2024KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Adha, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mbali na kuwatakia kheri Watanzania katika sikukuu hiyo, pia ameshiriki...
By Mwandishi WetuJune 17, 2024KUNDI la vijana wanaojishughulisha na uchimbaji wa chokaa katika kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe wameiomba serikali na wadau wengine kuwapatia mikopo...
By Mwandishi WetuJune 17, 2024Mwanaharakati huru Bihimba Nassoro Mpaya ametoa Sh 500,000 kwa ajili ya kununua matofali 500 ambayo yatatumika katika ujenzi wa Msikiti unaotarajia kuingia wauminiwa...
By Mwandishi WetuJune 17, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki ya NMB kwa kuanza kutoa bima ya mifugo inayolenga kupunguza hatari...
By Mwandishi WetuJune 17, 2024WANAHARAKATI vijana nchini Tanzania wamesema kitendo cha Serikali kuzima intaneti wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020, kimekiuka mikataba ya kimataifa pamoja na Katiba...
By Faki SosiJune 17, 2024Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali, na tayari Meridianbet wameshakuwekea machaguo yote ambayo unayataka. Ingia Meridianbet sasa na usuke jamvi...
By Mwandishi WetuJune 16, 2024Mfumo wa jua una sayari 9, lakini wanasayansi wanasema kunaZaidi ya sayari zimeonekana na uchunguzi unaendelea, Meridianbet nakupeleka hadi nje ya dunia, safari...
By Mwandishi WetuJune 16, 2024Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa ldara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wva...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao...
By Gabriel MushiJune 15, 2024Shindano la Expanse ndani ya meridianbet Kasino yaMtandaoni inakupatia Tsh Milioni Nne, Laki Saba na ElfuHamsini, ukicheza michezo ya sloti, jisajili Merdianbetkufurahia promosheni...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bado wakuu wa wilaya na mikoa hawafuati waraka uliotolewa na Serikali unaoelekeza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Baada ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa michuano ya EURO, Leo kama kawaida mechi hizo zinaendelea ambapo viwanja vitatu kuwaka...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024ZAIDI ya vijana 12,000 kutoka Wilaya ya Songwe mkoani Songwe wamepata fursa ya ajira katika migodi ya wachimbaji wadogo na wa kati baada...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kujaribu kuiba katika duka moja lililopo kwenye Soko la...
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....
By Mwandishi WetuJune 15, 2024Ofa kubwa kwaajili yako unayejisajili kwa mara yakwanza na ukaweka salio kiwango cha kuanzia5,000/= kisha upate bonasi ya kasino hadi asilimia200% kama...
By Mwandishi WetuJune 14, 2024