Haji Manara, Msemaji wa klabu ya Simba

Yanga wamwaga mboga, Simba kubinua sahani na bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017, iwe imeshatoa maamuzi waliyoyaweka kiporo, kinyume na hapo watachukua maamuzi magumu, anaandika Erasto Masalu. Simba wametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa sintofahamu juu ya maamuzi ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya masaa 72) ya kuipa pointi tatu kutokana na rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar kumchezesha Mohammed Fakhi. Haji Manara,Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano klabu ya Simba SC amewaambia waandishi wa habari kuwa anashangazwa na watani wao wa jadi kushikia…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Masalu Erasto

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube