Wanafunzi saba waangukiwa jengo, wafariki

WANAFUNZI saba wa Shule ya Msingi Precious Talent, katika eneo la Ngado, Nairobi nchini Kenya wameripotiwa kufariki baada ya kuangukiwa na jengo la darasa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).

Tukio hilo limetokea leo Jumatatu tarehe 23 Septemba 2019 saa 1 asubuhi

Duru kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu ndani ya Nairobi zinaeleza, shughuli za uokozi zinaendelea na ndani ya saa tatu zilizopita wanafunzi wanne wamefikishwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta (KNM). Tayari wanafunzi zaidi ya 50 wametolewa kwenye vifusi.

WANAFUNZI saba wa Shule ya Msingi Precious Talent, katika eneo la Ngado, Nairobi nchini Kenya wameripotiwa kufariki baada ya kuangukiwa na jengo la darasa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Tukio hilo limetokea leo Jumatatu tarehe 23 Septemba 2019 saa 1 asubuhi Duru kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu ndani ya Nairobi zinaeleza, shughuli za uokozi zinaendelea na ndani ya saa tatu zilizopita wanafunzi wanne wamefikishwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta (KNM). Tayari wanafunzi zaidi ya 50 wametolewa kwenye vifusi.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram