Airbus ya ATC kutua nchini kesho kutwa

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea ndege nyingine mpya toleo la Airbus A220-300 itakayotua nchini Jumapili Desemba 23, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Msemaji wa Serikali, Dk. Hassan Abbas ameeleza hayo leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.

“Ungana nasi kuipokea ndege ya kwanza kununuliwa na Serikali kwa toleo la Airbus A220-300. Ni Tanzania pekee.’Ngorongoro-Hapa kazi Tu’, itawasili nchini Jumapili hii na siku chache baadaye ndege nyingine kama hiyo itawasili Dodoma-Hapa Kazi Tu,” ameandika Dk Abbas.

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea ndege nyingine mpya toleo la Airbus A220-300 itakayotua nchini Jumapili Desemba 23, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Msemaji wa Serikali, Dk. Hassan Abbas ameeleza hayo leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter. “Ungana nasi kuipokea ndege ya kwanza kununuliwa na Serikali kwa toleo la Airbus A220-300. Ni Tanzania pekee.’Ngorongoro-Hapa kazi Tu’, itawasili nchini Jumapili hii na siku chache baadaye ndege nyingine kama hiyo itawasili Dodoma-Hapa Kazi Tu,” ameandika Dk Abbas. https://twitter.com/TZMsemajiMkuu/status/1075969857932484608 https://twitter.com/TZMsemajiMkuu/status/1076056597955338241

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram