JKT Tanzania yaitangulia Yanga

Spread the love

MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) unapigwa dimba la Jamhuri jijini Dodoma leo Jumatano tarehe 17 Juni 2020.

Aidan ameifungia bao hilo dakika 35 ya kipindi cha kwanza kwa shuti kali lililomshindi mlinda mlango wa Yanga, Metacha Mnata

Katika kipindi hicho cha kwanza, timu hizo zimeshambuliana zamu.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) unapigwa dimba la Jamhuri jijini Dodoma leo Jumatano tarehe 17 Juni 2020. Aidan ameifungia bao hilo dakika 35 ya kipindi cha kwanza kwa shuti kali lililomshindi mlinda mlango wa Yanga, Metacha Mnata Katika kipindi hicho cha kwanza, timu hizo zimeshambuliana zamu. Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!