Hivi ndivyo kampuni ya Airtel ilivyopigwa

RAIS John Magufuli amepinga wizi ulifanyika dhidi ya TTCL kwa kuinyanganya kampuni yake tanzu ya Airtel na kumtaka Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuchunguza utaratibu uliotumika kuuzwa kwa kampuni hiyo. MwanaHALISI Online liliwahi kuandika kwa kina kuhusu wizi huo miaka miwili iliyopita.

Tujikumbushe kwa kurejea makala hiyo hapa chini jinsi kampuni hiyo ilivyouzwa kwa wawekezaji.

* TTCL yafilisika, yapata hasara ya bil 300, haikopesheki

 

RAIS John Magufuli amepinga wizi ulifanyika dhidi ya TTCL kwa kuinyanganya kampuni yake tanzu ya Airtel na kumtaka Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuchunguza utaratibu uliotumika kuuzwa kwa kampuni hiyo. MwanaHALISI Online liliwahi kuandika kwa kina kuhusu wizi huo miaka miwili iliyopita. Tujikumbushe kwa kurejea makala hiyo hapa chini jinsi kampuni hiyo ilivyouzwa kwa wawekezaji. * TTCL yafilisika, yapata hasara ya bil 300, haikopesheki  

Review Overview

User Rating: 1.25 ( 1 votes)

About Masalu Erasto

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram