Ajali yaua 14 Mkuranga

AJALI mbaya imetokea mapema leo maeneo ya Kiguza, Mkuranga mkoa wa Pwani na kusadikika kuuwa watu zaidi ya 14 waliokuwa katika gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Ajali hiyo iliyohusisha magari mawili moja wapo likiwa gari la abiria la Toyota Hiace lililogongana uso kwa uso na gari la mchanga aina ya Scania.

 

AJALI mbaya imetokea mapema leo maeneo ya Kiguza, Mkuranga mkoa wa Pwani na kusadikika kuuwa watu zaidi ya 14 waliokuwa katika gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Ajali hiyo iliyohusisha magari mawili moja wapo likiwa gari la abiria la Toyota Hiace lililogongana uso kwa uso na gari la mchanga aina ya Scania.  

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube