Daily Archives: January 2, 2020

Erick Kabendera, azuiwa kumzika mama yake mzazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeyatupilia mbali, maombi ya mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, kushiriki msiba wa mama yake mzazi, Mwalimu Verdiana Mujwahuzi. Anaripoti ...

Read More »

Mawakili binafsi wapigwa ‘stop’ NIDA

SERIKALI imepiga marufuku mawakili binafsi kutoa hati za viapo, kwa wananchi wanaosajili ili kupata Kitambulisho cha Taifa, kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Agizo hilo amelitoa ...

Read More »

Simba vs Yanga maandalizi yakamilika, vingilio vyatajwa

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) sambamba na bodi ya ligi wamekamilisha maandalizi yote kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao wakutanisha miamba miwili ya soka nchini Simba ...

Read More »

Kabendera aimwagia chozi mahakama

HATIMA ya mwandishi wa habari nchini, Erick Kabendera, kushiriki msiba wa mama yake mzazi, Mwalimu Verdiana Mujwahuzi, itajulikana muda mfupi kutoka sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kabendera anayekabiliwa na mashitaka matatu ...

Read More »
error: Content is protected !!