Daily Archives: June 11, 2017

Halima Mdee kuliburuza Bunge mahakamani

Halima Mdee, Mbunge wa Kawe

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee amesema wanatarajia kwenda mahakamani kwa ajili ya kupinga uamuzi wa Bunge wa kuwasimamisha kwa kutohudhuria vikao vya bunge kwa mwaka, anaandika Dany Tibason. Mdee na ...

Read More »

Wanafunzi 101 ‘wapigwa’ mimba Januari – Juni

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

WIMBI la Wanafunzi wa kike Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kupewa mimba limezidi kuongezeka, baada ya Wanafunzi 101 kupewa mimba ndani ya miezi sita kwa mwaka huu, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Regina Lowassa awapa mbinu BAWACHA kuing’oa CCM

Regina Lowassa, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa

BARAZA la wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wametakiwa kuungana na kuweka mipango mikakati ya nguvu ili kuhakikisha wanaiondoa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2020, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube