Saturday , 27 April 2024

Day: May 8, 2017

Habari za Siasa

Wabunge, Spika watoa Sh. 100 milioni kwa wafiwa

WABUNGE wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameadhimia kutoa milioni 86 pesa za posho ya kikao cha siku kwa ajili ya...

Tangulizi

Arusha, Tanzania yazizima, kuaga miili 36

TAYARI zoezi la kuaga miili 36 ambayo ni ya wanafunzi 33, walimu 2 na dereva wao waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani...

Habari Mchanganyiko

Wazee wa mahakama kuongezewa posho

SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuongeza posho ya wazee wa mabaraza ya Mahakama kutokana na kiwango cha Sh. 5,000 kinacholipwa hivi sasa kwa wazee...

Habari za Siasa

Hazina waisusia mishahara Lushoto

HALMASHAURI ya wilaya ya Lushoto inatumia zaidi ya Sh. 28 milioni kulipa mishahara ya watumishi kila mwezi Bunge limeelezwa, anaandika Dany Tibason. Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Shilingi 29 bil kujenga kituo kipya cha Ubungo

UJENZI wa kituo kipya cha Mabasi cha Ubungo kinachotarajiwa kujengwa maeneo ya Mbezi Luis kinakadiliwa kutumia Sh. 28.72 bilioni, anaandika Dany Tibason. Naibu...

Habari Mchanganyiko

Vijana milioni 4 kupata mafunzo

SERIKALI imesema inatekeleza programu ya miaka mitano ya kukuza ujuzi inayolenga kuwezesha vijana 4,419,074 kupata ujuzi wa kuajiliwa au kujiajiri katika sekta mbalimbali,...

error: Content is protected !!