July 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wabunge Waitara, Mulugo wakwama, Spika Tulia atoa siku 90

Dk. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania

Spread the love

 

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametoa siku 90 kwa Serikali kuchunguza malalamiko yaliyotolewa na wabunge dhidi ya mauaji, majeruhi na uharibifu wa mali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Wabunge hao ni Mwita Waitara (Tarime Vijijini) na Philipo Mulugo (Songwe) wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotoa kwa malalamiko hayo tarehe 3 Juni 2022 bungeni wakati wakichangia Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2022/23.

Nini kilitokea hadi Spika Tulia kutoa maagizo kwa wabunge hao na majibu waliyowasilisha hadi kumfanya kuiagiza Serikali kuyafanyia kazi ndani ya miezi mitatu.

Sikiliza video hii;

error: Content is protected !!