Sunday , 19 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi
Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

Prof. Ibrahim Lipumba
Spread the love

 

MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim Lipumba, amekiwakilisha kituo hicho katika mkutano maalum wa kuvishawishi vyama vya siasa nchini Burundi, kujiunga katika baraza la siasa nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF), Mhandisi Mohamed Ngulangwa, mkutano huo umefanyika leo Jumamosi, nchini Burundi.

Prof. Lipumba ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF Taifa, ameshiriki mkutano huo ili kuvishawishi vyama vya siasa ambavyo havijajiunga katika Baraza la Vyama vya Siasa Burundi, kujiunga.

Taarifa hiyo imesema baraza hilo lilianzishwa 2009 lakini hadi sasa vipo baadhi ya vyama havijajiunga.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yamteua Pele kuwa mgombea ubunge Kwahani

Spread the loveKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Spread the loveKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi anusurika kufungiwa, asema hatarudi nyuma

Spread the loveWAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela

Spread the loveKATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu...

error: Content is protected !!