Wednesday , 22 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia amfariji mjane wa Musa Abdulrahman
Habari za Siasa

Rais Samia amfariji mjane wa Musa Abdulrahman

Spread the love

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amempa pole Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa rafiki wa familia na jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar. Rais Samia alifika kutoa pole msibani Kwahani Mchangamwingi Zanzibar tarehe 16 Aprili, 2024.

Rais Samia akimfariji Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa rafiki wa familia na Jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar, kushoto ni Mtoto wa Marehemu Fatma Mussa Abdulrahman. Rais Samia alifika kutoa pole msibani Kwahani Mchangamwingi Zanzibar tarehe 16 Aprili, 2024.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

Spread the loveSERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya...

Habari za Siasa

Watumishi 25,039, taasisi 65 wahamia Dodoma

Spread the loveSerikali imesema hadi sasa, jumla ya watumishi 25,039 kutoka Serikali...

Habari za SiasaKimataifa

Balozi Kasike ateta na mjumbe wa FRELIMO

Spread the loveBalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine...

Habari za Siasa

Watumishi 85,471 walioenguliwa kipindi cha JPM wapandishwa vyeo

Spread the loveSERIKALI imesema kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sasa jumla...

error: Content is protected !!