Wednesday , 22 May 2024
Home Kitengo Maisha Elimu Tazama matokeo darasa la saba 2023 hapa
ElimuTangulizi

Tazama matokeo darasa la saba 2023 hapa

Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed
Spread the love

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Katika matokeo hayo, jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 wamefaulu ambapo wamepata madaraja ya A, B, na C.

Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed amesema amefuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu.

Pia amesema wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo watarudia tena mwaka 2024.

INGIA HAPA KUTANZAMA MATOKEO YOTE

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

AfyaKimataifaTangulizi

Waliowekewa damu yenye VVU, homa ya ini kulipwa fidia trilioni 32.9

Spread the loveWaziri mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameahidi kulipa fidia ya...

BiasharaElimu

Benki ya Exim yazindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’

Spread the love  KATIKA juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

Spread the loveSERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya...

KimataifaTangulizi

Rais Iran afariki kwa ajali ya helkopta

Spread the loveRais wa Iran, Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje...

error: Content is protected !!