Saturday , 27 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Dk. Samia aipa cheti GGML mapambano ya Ukimwi
Habari Mchanganyiko

Rais Dk. Samia aipa cheti GGML mapambano ya Ukimwi

Spread the love

 

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama, Mazingira na Mafunzo wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), Dk. Kiva Mvungi (kulia) cheti kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI kupitia Mfuko wa UKIMWI wa Taifa (AIDS Trust Fund). Anaripoti Mwandishi Wetu, Lindi … (endelea).

GGML imepokea zawadi hiyo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo tarehe 1 Disemba, 2022 mkoani Lindi. Kampuni hiyo imeahidi kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI kupitia Kampeni ya Kili Challenge.

Kampeni hiyo iliyozinduliwa na GGML miaka 20 iliyopita na inalenga kuongeza uelewa pamoja na kukusanya fedha za mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU/UKIMWI.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA wawanoa mama lishe 50 kukabiliana na majanga ya moto

Spread the loveKampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na...

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

error: Content is protected !!