Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Benki ya Exim Yang’ara Tuzo za NBAA
Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim Yang’ara Tuzo za NBAA

Spread the love

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania, Jaffari Matundu  (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim baada ya benki kuwa miongoni mwa benki tatu bora katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyekiti Bodi ya NBAA, CPA Prof. Sylivia Shayo (kushoto). Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Mwakilishi kutoka Benki ya Exim Tanzania, Frim Paul (Kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maandalizi ya tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa  NBAA, CPA Pius Maneno. Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Viongozi waandamizi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Jaffari Matundu  (katikati)  wakionesha tuzo  walizopata kwenye hafla ya  tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Muonekano wa tuzo umahiri ambazo benki ya Exim Tanzania ilifanikiwa kuzitwaa kwa wakati wa hafla ya  tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Washindi wa  tuzo mbalimbali  zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

Spread the loveWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

Spread the love  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakanusha kufanya uzembe ajali iliyouwa mwandishi Ayo Tv

Spread the loveJESHI la Polisi limekanusha tuhuma zilizoibuliwa dhidi yake  kwamba limekawia...

error: Content is protected !!