Saturday , 27 April 2024
Home Gazeti Habari Lampard kocha mpya Everton
HabariMichezo

Lampard kocha mpya Everton

Spread the love

 

Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa miaka miwili na nusu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Lampard amejiunga na Everton akichukua mikoba ya Rafael Benited aliyetimuliwa kwenye kikosi hiko kufuatia kupata matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu msimu huu 2021/22.

Katika michezo 13 aliyocheza akiwa na Everton Benitez ameshinda mechi moja tu, na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya …. Kwenye msimamo wa Ligi.

Kibarua cha kwanza cha Lampard kitakuwa siku ya jumamosi katika mchezo wa mzunguko wane wa kombe la FA, dhidi ya Brentford kwenye dimba la Goodison Park.

Hiki kinakuwa kibarua cha kwanza cha Lampard, tangu alipofurushwa ndani ya klabu ya Chelsea kama kocha mkuu na nafasi yake kuchukuliwa na Thomas Tuchel.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC yanogesha Derby Kariakoo, Aziz Ki aibuka mchezaji bora Machi

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu...

error: Content is protected !!