Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko IGP Sirro aanza na wauaji wa Pwani
Habari Mchanganyiko

IGP Sirro aanza na wauaji wa Pwani

Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Spread the love

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) ameanza na kuwachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji, anaandika Hamisi Mguta.

Ameyasema hayo na kuwahakikishia wananchi kwamba watu hao siku zao zinahesabika ikiwa ni mara yake ya kwanza kuzungumza tangu kukabidhiwa cheo cha IGP ambacho awali kilikuwa chini ya Ernest Mangu na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika.

Tazama video zaidi alichokizungumza hapa chini…

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

AfyaHabari Mchanganyiko

200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Spread the loveZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na...

error: Content is protected !!