Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Tundu Lissu afunguka Bombardier ilivyokamatwa

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelitaka Bunge kumshitaki Rais Magufuli kwa kusababisha hasara kubwa wakati akiwa waziri, anaandika Hamisi Mguta.

Lissu amesema kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi bila kufuata sheria ambayo kwa sasa madhara yake ndio yanaanza kuonekana ikiwemo kukamatwa kwa ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 nchini Canada kwa kilichoelezwa kuwa ni kutokana na deni.

FUATILIA VIDEO HAPA CHINI TUNDU LISSU ALIVYOELEZWA NAMNA NDEGE HIYO ILIVYOKAMATWA NA SABABU ZA KUKAMATWA KWA NDEGE HIYO.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelitaka Bunge kumshitaki Rais Magufuli kwa kusababisha hasara kubwa wakati akiwa waziri, anaandika Hamisi Mguta. Lissu amesema kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi bila kufuata sheria ambayo kwa sasa madhara yake ndio yanaanza kuonekana ikiwemo kukamatwa kwa ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 nchini Canada kwa kilichoelezwa kuwa ni kutokana na deni. FUATILIA VIDEO HAPA CHINI TUNDU LISSU ALIVYOELEZWA NAMNA NDEGE HIYO ILIVYOKAMATWA NA SABABU ZA KUKAMATWA KWA NDEGE HIYO. https://www.youtube.com/watch?v=mZuh-5m6HMY

Review Overview

User Rating: 3.5 ( 1 votes)
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube