Rais John Magufuli

Rais Magufuli ateua DC Rufiji

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Tarifa iliyotolewa jana Alhamisi tarehe 30 Julai 2020 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ilisema, Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Msigwa alisema, uteuzi wa Luteni Kanali Sawala ulianza jana Alhamisi.

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu...(endelea). Tarifa iliyotolewa jana Alhamisi tarehe 30 Julai 2020 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ilisema, Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Msigwa alisema, uteuzi wa Luteni Kanali Sawala ulianza jana Alhamisi.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!