Tuesday , 2 July 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet waadhimisha siku ya Wajane Duniani kwa kutoa misaada mbalimbali
Biashara

Meridianbet waadhimisha siku ya Wajane Duniani kwa kutoa misaada mbalimbali

Spread the love

Siku ya leo Meridianbet wameamua kuadhimisha siku ya wajane Duniani ambayo hiyo hufanyika Juni 22 kwa kuwapelekea mahitaji muhimu ya nyumbani ikiwemo vyakula na mahitaji mengine.

Tanzania kuna wajane wengi sana ambao wanaishi sehemu mbalimbali na wana maisha magumu ambayo yanahitaji kushikwa mkono kwa namna hii au nyingine, hivyo Meridianbetwao wameona kuwa wawashike mkono kwenye upande wa mahitaji ya nyumbani.

Kufiwa na mume ni jambo gumu sana ambalo kwa mama ni ngumu sana kulipokea kwani familia nyingi za kitanzania hutegemea waume zao kwa kila kitu, hivyo mume anapofariki mama hubaki hana msaada na kuangukia maisha duni.

Hivyo wakali wa ODDS KUBWA Tanzania wakaona waanze na wajane wa Chamazi ili kuwashika mkono wajane hao ambao wana hali ngumu ya maisha kwani kurejesha kwa jamii ndio desturi ya Meridianbet.

Na wewe unaweza kupiga pesa leo hii kwa kubashiri mechi zinazoendelea Duniani kuna EURO na COPA AMERICA ambazo hizi zote zinakupa nafasi ya wewe kuwa Milionea. Vilevile unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, na michezo ya Sloti.

Wababe hao wa ubashiri Meridianbet baada ya kufika eneo la kutoa msaada walipokelewa vizuri mno na kina mama hao na waliwashukuru sana kwa kuwapelekea msaada wa vyakula ambavyo vitawasaidia kusukuma miezi.

Ndugu mteja kumbuka kubashiri mechi ya hatua ya 16 bora leo kati ya Uingereza dhidi ya Slovakia ambapo Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Southgate kwa ODDS 1.42 kwa 8.82. Suka mkeka hapa.

Pia wajane hao walishukuru mno kwa kutembelewa na Meridianbet huku wakiwaomba kuwa warejee tena kutoa msaada wa vitu vingine kwani baada wanahitaji kushikwa mkono kwenye mambo mengi ikiwemo malazi.

Kutoa ni moyo na sio utajiri, nao wababe wa ubashiri, waliahidi kurejea tena wakati mwingine kwani zoezi la kurejesha kwa jamii kwao ni kawaida na hufanya mara kwa mara kila mwezi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kobe Motor Japan kuongeza idadi ya magari yake soko la Tanzania

Spread the loveKampuni ya Kobe Motor ya Japan imesema itaendelea kujitanua zaidi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kampuni kuagiza siagi isiyo na lehemu kutoka Mauritius

Spread the loveKAMPUNI ya World Exchange Company Limited (WEXCO), kwa kushirikiana na...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

TRA yaweka rekodi makusanyo 2024, yakusanya trilioni 27.64

Spread the loveWAKATI wafanyabiashara nchini wakiweka mgomo wa siku tatu kupinga makadirio...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NSSF yawataka wastaafu watarajiwa kuhakiki taarifa zao

Spread the loveMfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii (NSSF) umewataka watumishi...

error: Content is protected !!