Tuesday , 2 July 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Dk. Mpango, Ulega waongoza harambee ujenzi jengo la kitega uchumi CCM Pwani
Habari za Siasa

Dk. Mpango, Ulega waongoza harambee ujenzi jengo la kitega uchumi CCM Pwani

Screenshot
Spread the love
Screenshot

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana tarehe 29 Juni katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.  Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali walihudhuria.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia kugharamia matibabu ya kijana aliyetekwa

Spread the loveRais Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote...

Habari za SiasaKimataifa

Waandamanaji wasambaza majeneza Nairobi

Spread the loveWAKATI vijana wa Kenya wakitekeleza kile walichomuahidi Rais wa taifa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Yakubu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Comoro

Spread the loveBalozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, leo Jumanne amewasilisha...

Habari za SiasaKimataifa

Majasusi watibua jaribio la kumpindua rais Ukraine

Spread the loveSERIKALI ya Ukraine imefanikiwa kutibua njama za kuipindua serikali ambayo...

error: Content is protected !!