Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet kasino inatoa mgao wa Tsh 13,000,000/= shindano la Amigos
Biashara

Meridianbet kasino inatoa mgao wa Tsh 13,000,000/= shindano la Amigos

Spread the love

NI moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezikukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababukila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako, bonasi na ofa mbalimbali za promosheni vinakusubiri kilakukicha.

Mwezi huu wa wapenda nao unaweza kumfurahisha mwenzawako, mpenzi au mzazi wako hata rafiki yako kwa sapraizikibao, haiwezekani kama hauna pesa lakini kama unatumiaMeridianbet Kasino ya Mtandaoni inawezekana. Jiunge naSafari ya Ushindi ya Amigo, ya pekee kupitia MeridianbetKasino! Tumeandaa mlima wa mapenzi, chukua sehemu yakoujivinjari na mpenzi wako.

Meridianbet inakuletea wiki ya maajabu na utajiri ambayohuwezi kujutia kuwa mwanafamilia. Kwa kushirikiana na mtoahuduma Amigo unaweza kujishindia mgao wa TSH 13,000,000/= na promosheni hii imeanza tangu Februari 7 hadi15.

Nini unatakiwa kufanya ili upate maokoto haya

Unachotakiwa kufanya ni kucheza michezo ya kasino yamtandaoni ifuatayo kutoka kwa mtoa huduma maarufu: Blazing Crown, Regal Fruits 100, Amigo Monkey, Joker’s Joy, Frozen Crown. Chagua mmoja wapo kati ya hii, chezakisha utaibuka mshindi na kujiweka kwenye mgao wa mamilionihaya kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Kila unapozungusha, unapata alama moja, ambayo inakuleteamaendeleo katika orodha ya wachezaji bora walio katika nafasiza juu. Zawadi ya jumla ya Tsh 13,000,000/= itagawanywa kwawashindi 45.

Bingwa namba moja wa shindano hili la Amigo atazawadiwakitita cha minoti kiasi cha 2,740,926/= TZS.

Ikiwa huna akaunti ya Meridianbet, bado haujachelewaJISAJILI kirahisi kupitia simu janja yako, au kwa watu wetuwa promosheni wanaopatikani mtaani kwako BURE kabisa.

JISAJILI SASA, na baada ya KUJISAJILI, utapewa zigo la zawadi lenye thamani ya TZS 25,000 katika akaunti yakoambayo unaweza kuitumia kucheza Kasino ya Mtandaoni namichezo ya Sloti.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapatabonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kilamechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10#AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Simulizi za aladin na jini kutoka Meridianbet kasino ya Rise of the Genie 

Spread the love  Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya...

Biashara

Mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana yajivunia maendeleo

Spread the love  AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji...

Biashara

Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino

Spread the love “Rise of Coins mchezo wa slotiunaotolewa na mtoa huduma...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake...

error: Content is protected !!