Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Biashara Apata msaada wa chakula kutoka Meridianbet, cheza kasino ushinde.
Biashara

Apata msaada wa chakula kutoka Meridianbet, cheza kasino ushinde.

Spread the love

 

SAFARI ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye halingumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu yakampuni namba moja kwa michezo ya ubashiriTanzania Meridianbet yenye huduma za kasino yamtandaoni.

Ni Wilaya ya Kigamboni ndipo kilikuwa kituo cha mwisho, nahapa Meridianbet walikutana na Mama mtu mzima mwenyechangamoto ya kutoona, hali hiyo anasema kwamba alizaliwanayo na mpaka sasa anaishi katika mazinira magumu haswa haliya upatikanaji wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula ni mbaya.

Nilizaliwa hivi nikiwa sioni hali hii imenipa changamoto sanakatika masuala ya kutafuta riziki, kwani licha ya kuwa hivi bado asumbuliwa na tatizo kubwa la afya,Mama Akram

Mama huyu alifurahishwa sana na ujio wa Meridianbet nakushukuru kwa msaada huo wa vyakula na mahitaji mengine yanyumbani.

Nawashukuru sana Meridianbet kwa msaada wenu mkubwamlionipatia, hakika mimi sina cha kuwalipa lakini Mungu ndiyeatawalipa Zaidi ya hiki. Familia yangu imefurahia sana msaadawenu”-Mama Akram.

Kwa upande wa muwakilishi wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kwamba Meridianbet itaendelea kuishi na utamuduniwao wa kurudisha kwa jamii kile kidogo wanachokipata, nahivyo mwaka huu 2024 ni mwaka wa mafanikio kwa kila mtu, anayebashiri na Meridianbet au kuchezo sloti na michezo yakasino mtandaoni, hata wale.

Huu ni mwaka wa mafanikio na furaha kwa kila mtu, tutamshika mkono haijalishi ana hali gani, kikubwa tunawaombawatu wengi kuendelea kubashiri na Meridianbet kwani mchangowao pia unasaidia jamii haswa watu wenye uhitaji kama ambapoleo tulivyotembelea na kujumuika pamoja na Mama Akram”-Nancy Ingram.

Meridianbet ni kampuni inayojihusisha na michezo yakubashiri kwa zaidi ya miaka 10 sasa hapa Tanzania, mbalina michezo ya kubashiri na odds kubwa pia wanakupamichezo ya kasino mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roulette ambayo ni rahisi kucheza na kushinda.

JIANDAE KWA MASAPRAIZ KIBAO YA MWEZI WA WAPENDANAO, MIBONASI KIBAO NA MKWANJA KILA WAKATI.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

Spread the love  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

Biashara

Cheza kasino sloti ya Fruit O Rama malipo unayapata kwa njia 10

Spread the love Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilikayenye kutawaliwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni...

error: Content is protected !!