Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Biashara Sloti ya Wild Riches ya Meridianbet kutoa ushindi mkubwa
Biashara

Sloti ya Wild Riches ya Meridianbet kutoa ushindi mkubwa

Spread the love

 

ILE Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni sloti ya Wild Wild West Riches humu kuna unyama mwingi na jambo kubwa ni kuwa kila ukicheza unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni inakupa ushindi mpaka mara 4608 ya dau lako kupitia Jakipoti Bonanza la Meridianbet kasino ya mtandaoni.

Jinsi ya Kushinda Sloti ya Wild Wild West Riches

Unapoingia kwa mara ya kwanza kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unahitaji kujisajili na kisha kuongeza salio na kuchagua mchezo wa sloti hii. Unapocheza sloti ya Wild West Riches, unatakiwa kuangaza macho yako kwenye mtungi wenye dhahabu. Mtungi huu utakupatia bonasi ya kukusanya pesa/Money Collect.

Unaweza kuvuna pesa kibao au kuzidishiwa dau lako maradufu kila unapoipata bonasi hii. Kumbuka, bonasi ya Money Collect inaweza kuzidisha dau lako mpaka mara 500.

Ule usemi wa Meridianbet ni nyumba yenye bonasi kubwa, namaanisha! Hawaishii hapo tu. Kupitia sloti ya Wild Wild West Riches, una nafasi ya kushinda mpaka mizunguko 20 ya bure kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.

Ingia mchezoni hapa kumbuka unaweza kushinda mara dufu na jakipoti kibao za kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kushirikiana na waandaaji wake. Endelea kufurahia kasino ya mtandaoni na kujiweka karibu zaidi na ushindi.

NB: Katika kuhakikisha Msimu huu wa Sikukuu unaburudika, Meridianbet wanatoa mizawadi kedekede ikiwemo Bajaji kwa Tsh 500/= cha kufanya bashiri mechi mbalimbali kwa kupiga *149*10#

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Wild 81 malipo kwa njia 81 Meridianbet kasino

Spread the love Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sanaambao utakufurahisha....

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

Spread the loveSERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh...

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

Spread the love  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

error: Content is protected !!