Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Biashara Washindi wa Serengeti Maokoto ndani ya Kizibo Dar, Dodoma walamba mzigo
Biashara

Washindi wa Serengeti Maokoto ndani ya Kizibo Dar, Dodoma walamba mzigo

Spread the love
Mustapha Ally, Mkazi wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh 500,000 kwa niaba ya Godlisen Moshi kutoka kwa Meneja mauzo kampuni ya bia ya Serengeti breweries Ltd (SBL) Mwanahamisi Musa. Moshi alibuka mshindiWa wa kiasi hicho cha fedha kwenye droo ya sita  MAOKOTO iliyochezeshwa wiki iliyopita  na makabidhiano hayo yalifika juzi usiku wilayani hapo
Meneja Mradi kutoka SBL Ali Maiko (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shs 500,000 mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo, Fikiri Abdul (wa pili kushoto) kwenye droo ya sita iliyofanyika Malamba Mawili, Dsm kwenye baa iitwayo Kibo zone.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Wild 81 malipo kwa njia 81 Meridianbet kasino

Spread the love Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sanaambao utakufurahisha....

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

Spread the loveSERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh...

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

Spread the love  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

error: Content is protected !!