Tuesday , 21 May 2024
Home Kitengo Biashara Karata moja tu kwenye Blackjack inakupa ushindi mara 100
Biashara

Karata moja tu kwenye Blackjack inakupa ushindi mara 100

Spread the love

 

WATENGENEZAJI wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa karata bila shaka watakutajia na huu mchezo kuwa ni pendwa zaidi kwa wengi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwa kutumia kibunda chenye karata 8.

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia burudani na ushindi kupitia Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 kwa mara moja ya dau uliloliweka.

Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52 hivyo ni rahisi Zaidi kushinda kwakuwa una nafasi ya kuotea idadi chache ya karata na kushinda pesa kibao.

Ili usiliwe pesa yako unatakiwa kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7.

Chaguo la Bet Behind litakupa nafasi ya kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kuwa mshua unapocheza kasino mtandaoni ya Meridianbet, mchezo wa Blackjack Live unakupa nafasi ya kufikia ndoto zako kirahisi. CHEZA.

NB: Je, Unapenda michezo ya Keno? Basi usiwaze Meridianbet imekupa nafasi ya kucheza Keno Bonanza itakayokupatia bonasi ya pesa taslimu, Samsung A32, na Pikipiki mpyaa kibao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaElimu

Benki ya Exim yazindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’

Spread the love  KATIKA juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta...

Biashara

Shinda mkwanja Meridianbet Kasino, ukicheza Expanse Tournament.

Spread the love  LION Kingdom ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yenye...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa DSE

Spread the loveBenki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

Spread the loveNaibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa...

error: Content is protected !!