Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Benki ya Exim yakutana na wateja Shinyanga, yajadili fursa za biashara
Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim yakutana na wateja Shinyanga, yajadili fursa za biashara

Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim, Agnes Kaganda akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.
Spread the love
Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Elias Ramadhani Masumbuko akizungumza na wateja wa benki ya Exim mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo, Sophia Mjema wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.
Maofisa mbalimbali wa benki ya Exim wakijipongeza pamoja na wateja mbalimbali wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani Shinyanga iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.
Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki ya Exim kutoka mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye hafla hiyo.

 

Maofisa waandamizi wa benki ya Exim akiwemo Meneja wa Benki ya Exim Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa Bw Amos Lyimo (kulia), Meneja wa Benki hiyo tawi la Shinyanga, Japhet Mazumira (wa pili kulia) pamoja na Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo wakibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

AfyaHabari Mchanganyiko

200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Spread the loveZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na...

error: Content is protected !!