SERIKALI ya Tanzania, imesema haijaweka rehani rasilimali za nchi ili kupata mkopo wa zaidi ya Sh. 6.7 trilioni, kutoka katika Serikali ya Korea...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024SERIKALI imeanza kuichunguza Taasisi ya Athuman Kapuya, dhidi ya tuhuma za usambazaji ushoga inazoikabili shirika hilo lisilo la kiserikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024ERICK Magulu (33), mkazi wa wilaya ya Kilombero, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, kwa tuhuma za kumuua kinyama mtoto wake wa...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024WAKULIMA na wafugaji wametakiwa kutokichagua tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa madai...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024MWENYEKITI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation), Mzee Joseph Butiku, amekemea tabia ya baadhi ya watu kumchangia fedha Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024Kama ulijua huna bahati na umechoka kujaribu kwenyemaisha yako, usikate tamaa, jaribu sana kucheza shindanola Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, Mamilioni...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024WITO umetolewa kwa madhehebu ya dini kushirikiana na Serikali katika kuweka mpango mkakati wa kiroho na kuiokoa jamii ikiwemo watoto kuondokana na tabia...
By Christina HauleJune 4, 2024Adha ya upatikanaji wa maji safi na salama, iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kijiji cha Mherule, kata ya Mwanya Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024HIFADHI ya Taifa ya Saadani imeanza mpango wa kudhibiti wanyamapori, wakiwemo tembo wasivamie maeneo ambayo ni makazi ya watu kwa kwa kuwavalisha...
By Yusuph KayandaJune 4, 2024Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo kutoka Jamhuri ya Korea...
By Gabriel MushiJune 4, 2024NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Mamalaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kuendelea kutoa huduma bora...
By Mwandishi WetuJune 4, 2024Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ana nia ya kujenga chuo cha masuala ya anga nchini kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha...
By Gabriel MushiJune 3, 2024SHIRIKA la Protection International Africa (PIA), limeiongezea mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Euro 122,440 (Sh. 34.5 milioni), Mtandao wa Watetezi wa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2024Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali aina ya meno ya Tembo...
By Mwandishi WetuJune 3, 2024BADO una nafasi ya kuendelea kuwa mshindi na kupiga mtonyo mrefu, kwa kushiriki promosheni ya Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni....
By Mwandishi WetuJune 3, 2024SHAHIDI wa upande wa mashitaka Kiran Lalit Ratilal, ameshindwa kutoa ushahidi katika kesi ya kujeruhi inayowaabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat...
By Mwandishi WetuJune 3, 2024Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa...
By Gabriel MushiJune 3, 2024ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amekata rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomng’oa madarakani...
By Mwandishi WetuJune 3, 2024Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amesema katika mwaka wa fedha 2024/2025, Serikali imetenga Sh...
By Gabriel MushiJune 3, 2024Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJune 3, 2024Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premiere League) imeendesha msimu wa pili wa...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024Benki ya Taifa ya Biashara NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini wakiwemo wafugaji, wanenepeshaji...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024SERIKALI ya Jamhuri ya Korea Kusini na Tanzania, zimesaini tamko la pamoja la kuanzisha mkataba wa ushirikiano wa uchumi (EPA), pamoja na hati...
By Gabriel MushiJune 2, 2024Sloti ya Sticky 777 inasifika kwa urahisi wake wa kucheza na washindi kila dakika, ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotawaliwa na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024JESHI la Polisi nchini limetakiwa kulinda kura za wagombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024MAKAMU Mwenyelkiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amewataka watumishi wa umma kufanya mgomo ili kuishinikiza Serikali iwaongezee mishahara....
By Mwandishi WetuJune 2, 2024MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Frederick Sumaye amesema hakuna chama cha siasa cha upinzani kinachoweza kuendesha nchi zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 2, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Chama tawala Cha Mapinduzi (CCM), kinapaswa kijifunze kupitia anguko la chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC), lililotokana na chama...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa...
By Gabriel MushiJune 1, 2024Katika ulimwengu wa michezo ya kasino ya mtandaoni, maranyingi michezo ya sloti hutawala zaidi. Japokuwa watumiajiwengi hupenda Zaidi kucheza Video Poker kutoka Meridianbet.Jisajili...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko amepongeza Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) pamoja na uongozo wa Jiji la Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Rais wa Marekani, Joe Biden amesema uzembe umemponza mtangulizi wake, Donald Trump kwa kuwa alipewa kila fursa kujitetea katika kesi ambayo amepatikana na...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Marian Robinson, mama yake Michelle Obama ambaye ni mke wa rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amefariki dunia akiwana umri wa miaka...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango leo Jumamosi ameongoza viongozi pamoja na wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam katika zoezi la...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024Vyama vya siasa nchini Afrika Kusini, vimeanza mazungumzo ya kujaribu kutengeneza muungano utakayowezesha kuunda Serikali ya mseto. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....
By Mwandishi WetuJune 1, 2024MWEZI unafunguliwa kibabe kwani kutakua na mtananangemkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati yaklabu ya Real Madrid dhidi ya Borussia Dortmund...
By Mwandishi WetuJune 1, 2024