Sunday , 30 June 2024

Month: June 2024

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mpina amng’ang’ania Bashe, kumburuza mahakamani pamoja na bodi ya sukari

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema amenuia kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na bodi ya sukari chini ya ibara 26,27...

Biashara

Cheza sloti za Expanse kasino! mamilioni yanakusubiri 

  Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa Meridianbet, mgao wa Mamilioni unatoka muda wowote, chaguo ni lako cheza michezo ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Majahazi yadakwa na madumu 1,731 ya mafuta ya kupikia

Kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es Salaam kimekamata majahazi mawili katika Bahari ya Hindi, upande wa Dar es Salaam yakiwa na madumu...

Habari za SiasaKimataifa

30 wafariki dunia maandamano Kenya

Shirika la Human Rights Watch limesema takriban watu 30 walifariki dunia nchini Kenya katika maandamano yaliyofanyikaya wiki hii kupinga Bunge na Rais Wiliam...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ualbino wafikishwa mahakamani

WATUHUMIWA wa mauaji ya Asimwe Novath, mtoto mwenye ualbino, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Bukoba. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mbele ya...

Habari Mchanganyiko

Sangoma awaponza vijeba, watupwa jela maisha kwa kubaka wanafunzi

MAHAKAMA ya wilaya Nkasi Mkoani Rukwa, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Kelvin Pungama (23) mkazi wa Kijiji cha Karundi kwa kosa la kumbaka...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Biashara Tunduma zarejea maduka yafunguliwa

Wafanyabiashara wa mkoa wa Songwe katika masoko yaliyopo Tunduma wilayani Momba wameungana na wenzao wa mikoa mingine ikiwemo Kariakoo kufungua maduka baada ya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Tanzania yakubali kukutana na mabalozi 9 kutatua changamoto za kikodi

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao...

ElimuHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Bilioni 743 zatolewa kwa wanafunzi wa elimu ya juu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia Juni, 2024 jumla ya wanafunzi 224,056 wamepatiwa mikopo yenye jumla ya Sh 743.2...

Habari za SiasaKimataifa

Mahakama Kenya yaruhusu Jeshi kutumika kuzuia maandamano

Mahakama kuu nchini Kenya imeruhusu jeshi la nchi hiyo KDF kutumiwa katika kuwasaidia polisi kupambana na maandamano ya kupiga mswada wa fedha. Inaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko: Tamaduni za kigeni chanzo ukatili wa kijinsia, mauji albino

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko amesema vitendo vya mmomonyoko wa maadili vinavyotokea nchini ikiwamo mauaji ya watu wenye ualbino na mapenzi ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mwinyi aipa tano Oryx kwa ujenzi wa bohari ya kuhifadhia gesi Znz

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas kwa kujenga  bohari ya kwanza...

Biashara

Expanse kasino inaitika na mamilioni kila siku

ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kunapromosheni kubwa ya Expanse inatoa mgao wa Mamilionikwa washinda 40. Jisajili hapa na chagua mchezo wako waushindi....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Watanzania waonywa kutotumia uchaguzi kuvuna hela

WATANZANIA wametakiwa kutotumia uchaguzi kuwa wakati wa mavuno ya pesa na mali kutoka kwa wagombea, kwani kitendo hicho kinachangia nchi kupata viongozi wasiofaa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

MNEC CCM Rukwa atofautiana na Serikali kufungwa uvuvi Ziwa Tanganyika

Wakati Serikali ikiwa imefunga shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika kuanzia Mei 15 hadi Agosti 15 mwaka huu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Kampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya Taifa Gas Limited imezindua mpango wake maalum unaotoa punguzo la bei ya nishati...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Kagera, Morogoro nao wagoma, Songwe wakimbilia Zambia

MGOMO wa wafanyabiashara kutoka katika mikoa mbalimbali nchini imendelea kushika kasi baada ya mikoa ya Morogoro na Kagera kuungana na wengine wa mikoa...

Habari za SiasaKimataifa

Kenya waliamsha tena, maandamano yaanza kuelekea ikulu

Wakenya kutoka maeneo ya Kisumu, Kisii, Mombasa na sehemu nyingine za nchi wamejitokeza tena barabarani ili kuonyesha kutoridhika kwao na serikali ya Rais...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Baada ya Ruto, Museveni naye agoma kusaini muswada wa fedha

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti 2024 hadi Bunge la nchi hiyo litakaporejesha Sh750...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yapeleka matumaini mapya Msumi

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza  kutekeleza kazi ya uchimbaji visima katika eneo la Mbezi- Msumi Kata...

AfyaHabari Mchanganyiko

AMREF yaipongeza NMB kuchangia Sh60 milioni uzazi ni maisha Z’bar

SHIRIKA la AMREF Health Africa – Tanzania, limeipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia vifaa tiba vya Sh. 20.17 milioni katika mwaka wa mwisho...

Habari za SiasaKimataifa

Ruto agoma kusaini muswada ulioleta balaa Kenya

Rais wa Kenya, William Ruto amekataa kutia saini Muswada wa Fedha wa 2024 kuwa sheria na kupendekeza marekebisho kadhaa kwenye muswada huo. Inaripoti...

Habari za SiasaKimataifa

Mawakili wakimbilia mahakamani kumpiga ‘stop’ Ruto

KUNDI la mawakili na wanaharakati wameelekea mahakamani kumzuia Rais wa Kenya, William Ruto kutia saini Muswada wa Fedha wa 2024 na Muswada wa...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mgomo watikisa mikoa 8, wafanyabiashara wamuita Samia

LICHA ya Rais Samia Suluhu Hassan kuahidi kuwa hadi kufikia tarehe 8 Agosti mwaka huu atakuwa ameinyoosha bandari ya Dar es Salaam na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wimbi la talaka, vifo kukutanisha mawaziri watatu

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana amesema amepanga kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

Habari Mchanganyiko

DC Itunda akemea imani potofu zinazosababisha ubakaji

VITENDO vya ubakaji, mauaji yatokanayo na visa vya wivu wa mapenzi na imani za kishirikina, vimetajwa kuwa ni moja ya changanoto zinazoikumba jamii...

Habari Mchanganyiko

“Acheni kuwatumikisha watoto”

Wazazi na walezi Kijiji cha Ipapa Kata ya Ipunga Wilaya ya Mbozi mkoni Songwe wametakiwa kuacha tabia ya kuwafanya watoto vitega uchumi vya...

Habari za SiasaKimataifa

Uhuru Kenyatta aibuka maandamano Kenya, atoa wito wananchi kusikilizwa

Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameitaka serikali ya nchi hiyo kuwasikiliza Wakenya kufuatia maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambayo yalizua taharuki...

Biashara

CEO wa Meridianbet! kushiriki siku ya wawekezaji Senzal

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji yaSenzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji nawafanyabiashara...

Habari MchanganyikoKimataifaTangulizi

Jeshi sasa kupambana na waandamanaji Kenya

SERIKALI ya Kenya imetangaza kuruhusu Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (KDF) kusaidia kuleta utulivu baada ya leo Jumanne kushuhudia maandamano yaliyosababisha maafa,...

Michezo

Leo ndiyo leo ukibashiri na Meridianbet

Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku ya leo, wewe ingia tuu Meridianbet kwani hapa utakutana na mechi kibao zinazopigwa ambapo...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Waandamanaji wavamia Bunge, wabunge watimua mbio, 8 wafariki dunia

WABUNGE wa Bunge la Kenya wamelazimika kukimbia ofisi zao zilizoko Bunge Towers baada ya waandamanaji wanaopinga ushuru kwenye Muswada wa Fedha 2024, kuvamia...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Biteko aipongeza NMB kwa kuja na bima ya mifugo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki ya NMB kwa kuanza kutoa bima ya mifugo inayolenga kupunguza hatari...

Biashara

Expanse Kasino imeitika! nafasi ya kushinda Tsh Mil 600 ni yako

BINADAMU yeyote lazima anakuwa na ndoto kubwa katika maisha yake, lakini wengi wana ndoto ya kumilika pesa nyingi ili waishi vizuri, Iko hivi...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Msajili wa Hazina na muarubaini Z’bar

  MUONGOZO wa namna nzuri ya kuendesha mashirika ya umma ya Zanzibar ikiwemo utaratibu mpya wa kuidhinisha bajeti zao ni miongoni mwa hatua...

Habari za SiasaKimataifa

Maandamano yapamba moto Kenya, wanaharakati 10 watekwa

MAELFU ya vijana wamefurika katikati mwa barabara za miji nchini Kenya kushiriki maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha 2024 ilihali wabunge wakiendelea kuujadili...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mbowe: Tunawaunga mkono Kariakoo, mifumo ya kodi inaua mitaji

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema anawaunga mkono wafanyabiashara wa Kariakoo walioanza mgomo jana Jumatatu kuishinikiza serikali kutatua...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mpina afungiwa vikao 15 vya Bunge hadi Novemba

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeazimia kumfungia vikao 15 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) kwa kudharau mamlaka ya Spika...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Kamati yamkuta Mpina na hatia, yapendekeza afungiwe vikao 10

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kupitia kwa Mwenyekiti wake, Ally Juma Makoa imemkuta na hatia Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina...

Biashara

Cheza Hot Keno na bashiri namba za ushindi 

  Kasino imejaa utajiri! Moja ya michezo inayoweza kukupa hela kubwa leo, ni mchezo wa namba unaofanya vizuri madukani na kwenye kasino ya...

Michezo

Anza wiki yako na mechi za EURO na Copa America Meridianbet

  Jumatatu ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika rasmi ambapo ndugu mteja leo hii unaweza kusuka mkeka wako wa maana na kuibuka mshindi....

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Serikali yasitisha ukaguzi mashine EFD, kero 41 zaibuliwa

Serikali imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za kielekroniki (EFD) na ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Chalamila achimba mkwara mzito Kariakoo, aapa kuwaonesha ‘show’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewathibitishia wafanyabiashara waliofungua maduka leo Jumatatu licha ya kuwepo kwa mgomo kwa baadhi yao,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Sukari pasua kichwa, wabunge wang’ang’ana wapiga dili watajwe

SAKATA la sukari limeendelea kuwa mjadala mzito ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muunga wa Tanzania linaloendelea sasa huku baadhi ya wabunge wakimtaka...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi awapinga wanaotaka aongoze miaka 7

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC- CCM...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Wafanyabiashara Kariakoo wamgomea Chalamila, wafunga maduka

LICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwataka wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kuepuka kushiriki mgomo uliovuma kuanza leo,...

Biashara

Cheza kasino mtandaoni uibuke na mamilioni

Milioni 2,500,000/= TZS zipo zinakusubiri leo hii kwakucheza kasino, michezo  ya Expanse iliyopo MeridianbetKasino ya Mtandaoni.  Washindi 40 kujizolewa bonasi zakasino na Ushindi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chalamila aonya wafanyabiashara kutojihusisha na migomo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kuepuka kushiriki kwenye masuala yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani na kurudisha...

Habari Mchanganyiko

Kampeni yaanzishwa kumng’oa Kidata TRA

  KAMPENI chafu imeanzishwa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata, na genge...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua tena Ikulu, amtumbua DED Misungwi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi na uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Joseph Constantine Mafuru...

error: Content is protected !!