January 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Simulizi ya Dada Bajaji “Wanaume wananisumbua”

Waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa maeneo ya mjini katika shughuli zao za kawaida

Spread the love

KUTANA na Happy Mushi maarufu ‘Dada Bajaji’ akisimulia safari fupi ya maisha yake.

Happy anayefanya shughuli zake katika eneo la Goba jijini Dar es Salaam kwa takriban mwaka mmoja sasa, lakini kabla ya kufanya kazi hiyo zipo kazi mbalimbali alizowahi kizifanya.

Je? Kipi kimemsukuma kuwa dereva wa bajaj? Ndoto zake ni zipo? Anawezaje kupanga muda wake kuhudumia familia kama mama wa watoto wawili.

Kufahamu haya yote tazama video hapo chini kupitia mahojiano aliyofanya na  MwanaHalisi TV.

error: Content is protected !!