Saturday , 27 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai yafungwa
Habari MchanganyikoTangulizi

Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai yafungwa

Spread the love

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD nchini Tanzania inayozalisha magazeti ya Dimba, Rai, Mtanzania na Bingwa imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kuanzia Jumatatu ijayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo, Denis Msacky akizungumza na wafanyakazi leo Ijumaa tarehe 4 Desemba 2020 amesema, hatua hiyo inatokana na mwenendo wa biashara kuwa mbaya.

Msacky amesema, magazeti yote yataendelea kutoka hadi Jumatatu ya tarehe 7 Desemba 2020 yatakapositishwa rasmi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

Spread the love  MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim...

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

error: Content is protected !!