Daily Archives: June 7, 2017

Mfumo wa JPM wautibua ACT-Wazalendo

John Magufuli, Rais wa Tanzania akihutubia katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru

KAMATI ya Uongozi ya chama cha ACT-Wazalendo imeonesha kutofurahishwa na namna ya teuzi za John Magufuli, Rais wa Tanzania zinavyofanyika bila mashauriano na wahusika katika vyama, Jambo hilo limepekea Kamati hiyo ...

Read More »

Wadaiwa sugu kodi ardhi watahadhalishwa

William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

WADAIWA sugu wa kodi ya ardhi Kanda ya Ziwa wametahadharishwa kulipa mapema madeni yao wanayodaiwa kwa kipindi kirefu kabla ya Juni 30, mwaka huu, anaandika Moses Mseti. Akizungumza na wanahabari ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube