Sunday , 30 June 2024
Home Kitengo Michezo Tandika jamvi lako na Meridianbet leo
Michezo

Tandika jamvi lako na Meridianbet leo

Spread the love

 

Leo hii kuna mechi kibao za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Afrika zinaendelea ambapo mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wamekuwekea machaguo uyapendayo. Ingia na ubashiri sasa.

Tukianza na mechi hii ya Congo Republic ambaye yupo nafasi ya 5 kwenye kundi  atakuwa mwenyeji wa Niger ambaye yupo nafasi ya 3 mchezo utakaopigwa majira ya saa 1:00 usiku. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao huku kule kw ambaingwa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.67 kwa 5.48. Wewe beti yako unampa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Huku kwa upande wa Guinea-Bissau yeye atachuana vikali na Ethiopia. Ikumbukwe kuwa Guinea alikuwa na kiwango kizuri sana kwenye Afcon mwaka jana hivyo lazima atafute ushindi kwaajili ya kushiriki Kombe la Dunia. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana hivi karibuni, lakini 1.57 na 6.07 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

Ligi mbalimbali kuchezwa leo ingia meridianbet na ubashiri sasa, lakini kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Libya atakuwa uso kwa uso dhidi ya Mauritius ambayo ilikuwa ni miongoni mwa timu iliyosumbua Afcon. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo huku mgeni akiwa nafasi ya 5, tofauti ya pointi tatu. Mechi ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Ingia na usuke mkeka wako hapa.

Saa 4:00 usiku kutakuwa na kipute kikali Algeria atapepetana dhidi ya Guinea ambaye alifika robo fainali Afcon mwaka jana. Algeria ya kina Mahrez yeye aliishia makundi pekee huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliibuka mshindi. Je leo hii nani kuondoka na ubabe ambapo pointi tatu ni muhimu kwa kila timu?. Suka mkeka wako mechi hii yenye ODDS 1.50 kwa 5.88.

Pia Mali ambayo ina wachezaji wakubwa kama vile Duambia, Toure, Diara na wengine kibao watakuwa dimbani kumenyana dhidi ya Ghana ambayo nayo pia ina kikosi kikali, yaani hii mechi ni balaa. Meridianbet wanampandelea mwenyeji kuondoka na ushindi kwa ODDS 2.01 kwa 3.57. Je mgeni mwenye wachezaji kama Kudus, Jordan Ayew, Tariq Lamptey na wengine kibao atatoboa?. Beti mechi hii.

Nao Senegal ambao walikuwa wanapigiwa upatu kufika mbali Afcon lakini ikawa ndivyo sivyo, wataumana dhidi ya DR Congo saa 4:00 usiku. Simba wa Teranga wanashika nafasi ya 1 huku DR akiwa nafasi za 3. Mwenyeji aliishia hatua ya makundi Afcon huku mgeni akifika Nusu Fainali. Mechi hii imepewa ODDS 1.36 kwa 7.84. Mechi ya mwisho kukutana akina Sadio Mane walishinda. Je leo mgeni atalipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

Vilevile Benin atakipiga dhidi ya Rwanda ambaye ndiye kinara wa kundi C akiwa na pointi zake 4 akishinda mechi moja na sare moja. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 huku nafasi ya kuchukua pointi tatu akipewa Benin kwa ODDS 2.10 kwa 3.52. Wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Egypt ya Mohamed Salah ambayo ipo nafasi ya 1 watakuwa wenyeji wa Burkina Faso ya Aziz Ki ambayo ipo nafasi ya 2 kwenye kundi. Egypt haikufanya vizuri Afcon lakini imeshinda mechi zake zote mbili kwenye kundi na mgeni ameshinda mchezo mmoja na sare moja. Mara ya mwisho kukutana, ilikuwa ni 2017 ambapo walitoa sare. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.42 kwa 6.86. Beti hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ndiyo leo ukibashiri na Meridianbet

Spread the love Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku...

Michezo

Anza wiki yako na mechi za EURO na Copa America Meridianbet

Spread the love  Jumatatu ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika rasmi ambapo...

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

error: Content is protected !!