Sunday , 30 June 2024
Home Kitengo Biashara Shinda zawadi kibao ukibashiri na USSD mechi za EURO
Biashara

Shinda zawadi kibao ukibashiri na USSD mechi za EURO

Spread the love

 

Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza leo hii ambapo Meridianbet inakusisitiza kubashiri kwa kutumia USSD uweze kujishindia zawadi kibao. Usisubiri kupitwa na hii ofa ndani ya meridianbet.

Promosheni hii ya EURO 2024 na Copa America imekuja maalumu kwaajili yako ili uweze kujishindia zawadi ambazo zinatolewa na Meridianbet kama vile Bajaj mpya, Bodaboda, TV Inch 55, Laptop aina ya DELL na Samsung A23.

Ndugu mteja unatakiwa kuweka dau lako kwenye akaunti yako ya Meridianbet ambayo umesajili kwa kutumia USSD na uanze haraka sana kubashiri mechi hizi zinazoanza leo ambapo leo hii kutakuwa na mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Ujerumani dhidi ya Scotland ambapo nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.01. Jisajili sasa.

Kumbuka kuwa promosheni hii ili uweze kushiriki ni lazima uwe umejisajili kwa USSD na kama bado hujajisajili piga *149*10# na uanze kutengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.

Pata zawadi kibao na EURO 2024 leo hii beti na kitochia ua USSD mechi hizi zinazoanza leo ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Bajaj, bodaboda , Laptop na zingine kibao. Pia unaeza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Vilevile Promosheni hii inaanza leo hii tarehe 14 June ambapo itaenda mpaka 14 July yaani ni promosheni ambayo itadumu kwa mwezi mzima, huku mteja ukifurahia ushindi mnono sana ukiwa na mabingwa hawa wa ubashiri Tanzania.

Wakati kwa COPA America mashindano haya yanatarajia kuanza wiki ijayo na ukiingia Meridianbet ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana, hivyo kazi ipo kwako ndugu mteja unakosaje zawadi kedekede zinazotolewa na Meridianbet?

Dau la chini ambalo unatakiwa kuweka kwa kila tiketi ni shilingi 1000 na timu kuanzia 3 au zaidi zitoke kwenye EURO au COPA America. Lakini kumbuka kuwa jinsi unavyocheza mara nyingi ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi ya kuibuka mshindi wa Bajaj mpya, bodaboda, Laptop, Simu aina ya Samsung na zingine kibao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza sloti za Expanse kasino! mamilioni yanakusubiri 

Spread the love  Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Biashara Tunduma zarejea maduka yafunguliwa

Spread the loveWafanyabiashara wa mkoa wa Songwe katika masoko yaliyopo Tunduma wilayani...

Biashara

Expanse kasino inaitika na mamilioni kila siku

Spread the love ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kunapromosheni kubwa ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Spread the loveKampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya...

error: Content is protected !!