Friday , 28 June 2024
Home Kitengo Michezo Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa
Michezo

Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa

Spread the love


Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali, na tayari Meridianbet wameshakuwekea machaguo yote ambayo unayataka. Ingia Meridianbet sasa na usuke jamvi lako hapa.

Mechi ya mapema leo hii ni hii ya Kundi D ambapo Polandwataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.57 kwa 5.48. Timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana, ilikuwa 2022 kwenye Kombe la Dunia na Poland alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?

Uholanzi ana wachezaji wakubwa wenye majina makubwa ambao wanacheza ligi kuu mbalimbali kama vile, Van Dijk, Memphis Depay, Nathan Ake, Gakpo na wengine kibao huku kwa upande wa Poland staa wao ni Roberto Lewandowski, huku wengine wakiwa ni Golikipa wao Szczeny, Nivola Zalewski na wengine. Nani kuibuka mshindi?. Beti hapa.

Jumapili ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Baada ya hapo majira ya saa moja usiku tuatenda kushuhudia mechi ya Slovenia dhidi ya Denmark ambao wanapigwa upatu sana kuondoka na pointi tatu muhimu leo. Kama kawaida Meridianbet huchagua vilivyo bora kwa kukuwekea ODDS KUBWA mechi hii yaani ni 5.09 kwa 1.76.

Denmark ambayo ina wachezaji wakubwa kama Hojlund, Eriksen kutoka Man United, Christensen na wengine wanataka kuonesha ubora wao mbele ya Benjamin Sesko, Jan Oblak leo. Je Slovenia watakubali kuchapika leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana 2023 kupoteza?. Jisajili hapa.

Mbungi la maana litakuwa saa nne usiku ambapo Serbiawatakiwasha dhidi ya Uingereza, wanafainali hawa wa 2022. Uingereza wamepewa ODDS 1.47 kwa 7.84 kushinda mechi hii. Vijana hawa wa South Gate wanapewa nafasi ya kucheza fainali

kabisa ya EURO kutokana na wachezaji bora ambao wanao, akiwemo Harry Kane, Palmer, Foden, Mainoo, Rice na wengine huku kwa upande wa Serbia wao wana matumaini na Mitrovic ambaye anakipiga Al Hilal kule Saudia, Milinkovic Savic, Tadic. Je Uingereza kwenye EURO hii atafika wapi? Suka jamvi hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ndiyo leo ukibashiri na Meridianbet

Spread the love Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku...

Michezo

Anza wiki yako na mechi za EURO na Copa America Meridianbet

Spread the love  Jumatatu ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika rasmi ambapo...

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

error: Content is protected !!