Friday , 28 June 2024
Home Kitengo Biashara Kibaha na Meridianbet waendeleza ushirikiano
Biashara

Kibaha na Meridianbet waendeleza ushirikiano

Spread the love

Meridianbet wameendelea kua na ushirikiano na wakazi waKibaha kwani leo tena wamefanikiwa kufika eneo hilo nakutoa msaada kwa wakazi wa hapo.

Utamaduni huo kampuni ya Meridianbet wamekua nao miakanenda miaka rudi ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada kwajamii ya watu wa Kibaha kwa mara nyingine ambapo leohawakwenda Hospital, Lakini waligusa makundi mawili ya watumoja ni familia duni, mbili jamii ya watu wenye ulemavu wangozi.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kutoamafuta (Lotion) maalumu ambayo hutumika na watu wenyeUalbino ili kuzuia ngozi zao kupigwa na jua lakini pia zinaachangozi ikiwa katika muonekano mzuri, Meridianbet piawalihakikisha wanatoa msaada wa mahitaji ya nyumbani katikafamilia duni zinazopatikana eneo hilo.

Suka mkeka wako kwenye michuano ya Euro 2024 inayoendelea nchini Ujerumani sasa ujishindie Mamilioni.Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuniya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi yakuzungumza kwa niaba ya taasisi na kusema “Nina furahakubwa kuwepo mahala hapo leo kutimiza hili ambalotumelifanya leo la kurudisha kwenye jamii yetu kidogotulichonacho, Lakini pia nipende kutoa shukrani kwaukaribisho mzuri tuliopata kutoka kwa wakazi wa Kibaha

Wakazi wa eneo hilo nao walipata nafasi ya kuzungumzaambapo wameonesha kutoa shukrani zao kwa kampuni yaMeridianbet kwa kuwakumbuka na kutoa witu kwa makampunimengine kuiga mfano kwa mabingwa hao wa michezo yakubashiri.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Expanse kasino inaitika na mamilioni kila siku

Spread the love ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kunapromosheni kubwa ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Spread the loveKampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Kagera, Morogoro nao wagoma, Songwe wakimbilia Zambia

Spread the loveMGOMO wa wafanyabiashara kutoka katika mikoa mbalimbali nchini imendelea kushika...

Biashara

CEO wa Meridianbet! kushiriki siku ya wawekezaji Senzal

Spread the love Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji...

error: Content is protected !!