Sunday , 30 June 2024
Home Kitengo Michezo Jumanne ya leo kuna mechi kibao za hela
Michezo

Jumanne ya leo kuna mechi kibao za hela

Spread the love

Mechi mbalimbali kutoka ligi mbalimbali zinaendelea ambapo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kupiga pesa kwa kuchagua mechi zako za ushindi. Suka jamvi lako hapa na ubashiri sasa.

Mechi za Mataifa za Kirafiki za kujiandaa na EURO leo, Uswiziatakiwasha dhidi ya Estonia majira ya saa 3:15 usiku ambapo ndani ya Meridianbet mwenyeji ndiye anapewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mechi hii akipewa ODDS 1.12 kwa 14.7. Timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa mwaka 2015 na Uswizi aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni atalipa kisasi?. Beti mechi hii.

Saa 3:45 Austria atamenyana dhidi ya Serbia ambao wana wachezaje wazuri na wenye uzoefu mkubwa akiwemo Mitrovic ambaye yupo Al Hilal kule Saudi Arabia. Mechi hii itapigwa Ureno katika dimba la Antonio Nobre. Mechi hii imepewa ODDS 2.11 na 3.28. Suka jamvi lako sasa.

Utamu mwingine utakuwa kule nchini Austria ambapo Urenowataumana dhidi ya Finland ambao hawapendelewi kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 13.72 kwa 1.13. Ikumbukwe kuwa timu hiyo ambayo inanolewa na Roberto Martinez wanataka kuchukua taji la EURO. Je Ronaldo na wenzake watatokaje leo?. Jisajili hapa.

Ligi mbalimbali kuchezwa leo ingia meridianbet na ubashiri sasa, lakini kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Hungary yeye atachuana vikali dhidi ya Ireland majira hayo hayo ya 3:45 usiku huku mechi hii ikipewa ODDDS KUBWA yani Meridianbet hawana dogo kwenye kukupa unachostahili. Naongelea 2.84 kwa 2.50 ambapo hapa nina uhakika utachagua timu yako ya ushindi ukizingatia Hungary imekuwa timu yenye ubora misimu ya hivi karibuni. Tengeneza mkeka wako hapa.

Huku bingwa mtetezi wa EURO Italia atakuwa mzigoni kutunishana mbavu dhidi ya Uturuki. Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Luciano Spaletti wanataka kutetea taji lao hivyo maandalizi makubwa ni muhimu. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Nani kukupa pesa?. Bashiri sasa.

Ligi kuu ya Argentina, Argentine Liga Profesional kuendelea kwa michezo kadhaa saa 3:00 usiku Barracas Central atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya CA Huracan ambaye alishinda mechi ya kwanza walipokutana. Je mwenyeji kulipa kisasi leo kwa ODDS 3.28 na 2.14?. Tandika jamvi lako hapa.

Vilevile saa 8:00 usiku kutakuwa na mtanange Independiente Rivadavia dhidi ya Union De Santa Fe huku wote wakiwa na pointi 7 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni yupo nafasi ya 6. Beti mechi hii na Meridinabet sasa ambayo ina ODDS 3.14 kwa 2.20.

CA Banfield atapepetana dhidi ya Newell’s Old Boys ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Mwenyeji anashika nafasi ya 26 kwenye ligi huku mgeni akiwa wa 11. Meridinabet wamempandelea mwenyeji kutoka na pointi 3 kwa ODDS 2.50 kwa 2.89. Wewe unamdhamini nani akupatia maokoto?. Ingia na ubashiri hapa.

Kule Brazil, ligi kuu itaendelea pia Brasileiro Serie B saa 7:00 usiku Mirassol FC SP baada ya kupoteza mchezo uliopita, atamkaribisha nyumbani kwake Guarani FC SP ambaye alitoa sare mchezo uliopita. Mechi hii imepewa ODDS 1.65 kwa 4.70. Bashiri hapa.

Wakati saa 9:30 usiku kutakuwa na mchezo mkali sana kati ya Paysandu SC PA dhidi ya America FC MG huku nafasi ya kuwa mshindi akipewa mgeni kwa ODDS 2.50 kwa 2.74. Tofauti ya pointi kati yao ni 10. Je mwenyeji kulipa kisasi kulipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya mwisho wlaipokutana?. Jisajili hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ndiyo leo ukibashiri na Meridianbet

Spread the love Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku...

Michezo

Anza wiki yako na mechi za EURO na Copa America Meridianbet

Spread the love  Jumatatu ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika rasmi ambapo...

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

error: Content is protected !!