Sunday , 7 July 2024
Home Kitengo Biashara Jinsi ya kupiga pesa ndefu ndani ya Mweidianbet kasino
Biashara

Jinsi ya kupiga pesa ndefu ndani ya Mweidianbet kasino

Spread the love

Unaijua Kasino? Kuna mchezo unaitwa Super Heli naAviator inafanya poa sana, lakini nikwambie tu MeridianbetKasino ya Mtandaoni kuna sloti moja inatema hela kamamashine ya ATM. Jisajili Meridianbet uucheze mchezo huubila shida yeyote.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya 81 Vegas Magic.

81 Vegas Magic ni sloti ya kasino ya mtandaoni inayokupapesa kwa njia ya rahisi. Sloti hii ambayo ina nguzo nnezilizopangwa katika mistari mitatu, ina jumla ya njia 81 zakushinda. Kupata ushindi wowote, unahitaji kupata alama tatuau nne zinazofanana katika mfululizo wa ushindi.

Ushindi wote unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia na nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Wakati unaanza kuucheza mchezo huu wa kasino yamtandaoni, utakutana na alama 12 zinazofanana kwenye nguzoau alama moja inayounganishwa na kadi ya wild huleta ushindikwenye njia zote za kushinda zinazowezekana kwenye mchezohuu wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet

Katika uwanja wa kuBet, kuna vitufe vya “plusnaminusambavyo unaweza kutumia kuweka thamani ya dau kwa kilaspin.

Pia kuna chaguo la Kucheza moja kwa moja (Autoplay) unaloweza kuwasha wakati wowote unapotaka. Kupitia chaguohili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500.

Wachezaji wa High Roller wataipenda zaidi kifungo cha Bet Max. Kwa kubofya uga huu, unaweka moja kwa moja daukubwa zaidi kwa kila spin.

Mchezo wa kasino ya mtandaoni 81 Vegas Magic unakupachaguo la Turbo, litakuwezesha kucheza mizunguko yenye kasiZaidi, mchezo huu wa kasino unatoa Mamilioni kila siku, kuwatajiri kwa kucheza kasino.

Alama za Ushindi 81 Vegas Magic

Kila mchezo wa kasino ya mtandaoni una alama zake zaushindi, 81 Vegas Magic una alama nyingi kama vile; mitiminne ya matunda ina thamani ndogo zaidi. Hizi ni ndimu, machungwa, cheri, nk. Zinakuja na thamani sawa.

Kisha kuna alama ya tikiti, ambayo ni ya thamani zaidi kati yaalama za matunda. Alama nne za tikiti hizi katika mfululizo waushindi zitakuletea mara nne ya dau lako.

Kisha utaona kengele ya dhahabu. Ikiwa utaunganisha alamanne za kengele hizi katika mfululizo wa ushindi, utapata maranane ya dau lako.

Baada ya kengele, utaona alama nyingine yenye rangi yadhahabu, ambayo ni nyota. Ikiwa utaunganisha alama nne zanyota hizi katika mfululizo wa ushindi, utapata mara 16 ya daulako.

Alama ya thamani zaidi katika mchezo, kama katika mashinenyingi za kawaida, ni alama ya 7 Nyekundu. Alama nne za 7 hizi katika mfululizo wa ushindi zitakuletea mara 32 ya daulako.

NB: Jisajili na Cheza Kasino ya mtandaonipia Piga pesa ndani ya Meridianbet, Bashirimichezo mingi kwa odds kubwa, kupitiaduka la ubashiri, beti na kitochi kwa kupigaBure *149*10#

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shinda mamilioni kwa kucheza kasino na sloti ya Sticky 777

Spread the love  Moja kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali yakanusha kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari

Spread the loveBODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Uamuzi wa serikali kuwapa wafanyabiashara vibali vya uagizaji kulishusha bei ya sukari

Spread the loveUamuzi wa Serikali ya Tanzania kutoa vibali vya uagizaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TAWA yakaribisha Watanzania, wageni kuwekeza kwenye sekta ya utalii nchini

Spread the loveMAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) iimetoa wito kwa...

error: Content is protected !!