Sunday , 30 June 2024
Home Kitengo Biashara Cheza kasino na ushinde mamilioni ya mchezo wa 20 Imperial Crown
Biashara

Cheza kasino na ushinde mamilioni ya mchezo wa 20 Imperial Crown

Spread the love


20 Imperial Crown Deluxe
ni mchezo wa kasino mtandaoniunaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwakatika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenyemstari wa malipo.

Alama ya Lucky 7 ndiyo isiyofuata sheria hii na huleta malipopopote inapoonekana kwenye safu zilizopangwa. Kilamchanganyiko wa kushinda, isipokuwa ile na alama za kupotea, huzingatiwa kuanzia kushoto kwenda kulia, kuanzia safu yakwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa utapata mchanganyiko wa kushinda zaidi ya mmojakwenye mstari wa malipo, utalipwa mchanganyiko wenyethamani kubwa zaidi.

Unaweza kuongeza ushindi kwa kuziunganisha kwenye mistariya malipo kadhaa kwa wakati mmoja.

Kwenye sehemu yaTotal Betkuna chaguo la kuongeza au kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Je, unapenda mchezo wa haraka zaidi? Meridianbet KasinoMtandaoni haijakuacha kinyonge. Anzisha mizunguko ya harakakwa kubonyeza kitufe cha Turbo. Unaweza kudhibiti athari zasauti kwenye kona ya chini kushoto chini ya safu zayanayopangwa.

Alama za ushindi

Hakikisha UMEJISAJILI NA MERIDIANBET kisha uanzekufurahia maajabu ya mchezo huu wa kasino mtandaoni, unaalama mbalimbali za ushindi kama vile;

Matunda manne yanaweza kuorodheshwa kama alama zenyethamani ndogo zaidi. Hizi ni: limau, chungwa, cheri, na plamu. Ukizipata alama hizi tano katika mchanganyiko wa kushinda, utapata mara tano ya dau lako.

Pia Alama ya dhahabu inakuletea malipo kidogo zaidi kulikoalama zilizotajwa hapo awali. Kupata alama hizi tano katikamfululizo wa kushinda kunatoa mara kumi ya dau lako.

Zabibu na tikiti maji ni alama zenye thamani kubwa zaidi katikamchezo. Ukizipata alama hizi tano katika mchanganyiko wakushinda, utapata mara ishirini na tano ya dau lako.

Alama kuu zaidi katika mchezo huu wa kasino mtandaoni yaMeridianbet, ni alama nyekundu ya Lucky 7. Ukizipata alamahizi tano katika mchanganyiko wa kushinda, utapata mara miamoja na hamsini ya dau lako.

Bonasi ya mchezo huu wa kasino mtandaoni

Vilevile wakati unafurahia malipo makubwa Zaidi unaposhinda, mchezo pia unakupa bonasi kubwa kila wakati na una chaguo la kuongeza ushindi wako kila unaposhinda, kwa kubonyeza nenoGAMBLE/BASHIRI utapaswa kuotea kadi ya rangi ganiinatokea kati ya Nyekundu au Nyeusi ukipatia ushindi wakounaongezwa mara mbili Zaidi.

Na mwisho kabisa mchezo huu una zawadi nne za jackpot. JISAJILI HAPA ufurahie mchezo huu, huku ukiongeza maokotoyako unapobashiri michezo mingi kwa ODDS KUBWA. BASHIRI HAPA.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza sloti za Expanse kasino! mamilioni yanakusubiri 

Spread the love  Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Biashara Tunduma zarejea maduka yafunguliwa

Spread the loveWafanyabiashara wa mkoa wa Songwe katika masoko yaliyopo Tunduma wilayani...

Biashara

Expanse kasino inaitika na mamilioni kila siku

Spread the love ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kunapromosheni kubwa ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Spread the loveKampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya...

error: Content is protected !!