Friday , 28 June 2024
Home Kitengo Biashara Cheza kasino, mchezo wa American Roulette utajirike  
Biashara

Cheza kasino, mchezo wa American Roulette utajirike  

Spread the love

 

Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jisajili Meridianbet ili na wewe uanze kuweka heshima kwenye kasino.

Dk. Jerecki alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino utaendelea kukumbukwa.

Mchezo wa Roulette unaojulikana kama American Roulette unapatikana kwenye kasino ya Meridianbet mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino wanathamini urahisi na ufanisi wa mchezo huu wa Roulette.

Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezo mengine ya roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwepo wa namba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.

American roulette inajumuisha gurudumu la roulette, mpira, na ubao wa mchezo. Moja ya faida kubwa ya American roulette ni rahisi kucheza. Lengo la mchezo huu ni kutabiri namba au kundi la namba ambazo mpira utaangukia.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshaji laivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuweka dau na kuonyesha gurudumu linalozunguka.

Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulette nyingine zenye sifuri moja, kigine ni uwepo wa namba 38 badala ya 37. Kuna namba 36 za kawaida, zilizopambwa kwa rangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri moja ni kijani, na nyingine ni sufuri mbili kijani.

HATUA KWA HATUA MPAKA USHINDI

Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapaswa kuchagua sarafu unayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race track kinachopatikana kusaidia dau za majirani.

Mbali na kipengele cha kucheza moja kwa moja, American Roulette hukumbuka dau lako la mwisho. Kwa hivyo, ikiwa unataka kubeti muunganiko ule ule, bonyeza kitufe cha spin. American Roulette unatoa ukurasa wa takwimu ambapo unaweza kuona data za kurasa 100 zilizopita.

Kando na kitufe cha Spin, utaona kitufe cha Clear Bets, kinachoruhusu kufuta dau lako la awali na kuanza upya. Ikiwa hauko tayari kufuta dau, lakini ungependa kucheza spin inayofuata na dau zilizopo kutoka mchezo uliopita, bonyeza tu kitufe cha redo.

Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwa kubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja na kubeti namba jirani.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza na bashiri michezo mingi kwa odds kubwa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Expanse kasino inaitika na mamilioni kila siku

Spread the love ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kunapromosheni kubwa ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Spread the loveKampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Kagera, Morogoro nao wagoma, Songwe wakimbilia Zambia

Spread the loveMGOMO wa wafanyabiashara kutoka katika mikoa mbalimbali nchini imendelea kushika...

Biashara

CEO wa Meridianbet! kushiriki siku ya wawekezaji Senzal

Spread the love Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji...

error: Content is protected !!