Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji yaSenzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji nawafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leoJumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia.
Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kamaMeridianbet ili kujadili mwenendo, hali ya sasa ya soko, nafursa za ukuaji kiuchumi katika ulimwengu wa masoko ya mitajina uwekezaji.
Kama CEO wa kampuni ya kwanza kwa michezo ya ubashirina kasino ya mtandaoni kuorodheshwa kwenye soko la hisa la NASDAQ, Zoran Milosevic ataweka wazi namna ambavyoalipata wazo la kuanzisha kampuni inayofanya vizuri kwa sasaduniani, changamoto na faida za kuingia kwenye soko la Hisanchini Marekani, na mipango ya baadaye ya Meridianbet.
Meridianbet ni sehemu ya Kampuni ya Golden Matrix Group (GMGI), inatoa huduma ya michezo ya ubashiri na kasino mtandaoni katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, na Ulaya, Kampuni hii imebeba ndoto za wengi katika ukuaji wa uchumiwa mtu na jamii kwa ujumla.
NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezoya kasino ya mtandaoni upate ushindikirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovutiyao meridianbet.co.tz
Leave a comment