Shindano la Expanse ndani ya meridianbet Kasino yaMtandaoni inakupatia Tsh Milioni Nne, Laki Saba na ElfuHamsini, ukicheza michezo ya sloti, jisajili Merdianbetkufurahia promosheni hii.
Meridianbet watatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi40 pekee, ambao watakuwa na alama nyingi kushinda wachezajiwengine, ili kuwa mshindi na upate Mgao huu wa Mamilionihakikisha unacheza mara nyingi Zaidi kwenye moja ya michezoya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse.
MCHANGANUO WA ZAWADI.
Expanse Tournament inatoa mgao wa mamilioni kwa wachezajiwa kasino ya mtandaoni, kuna bonasi za kasino, mizunguko yabure na beti za bure huku ukiondoka na kitita cha mamilioni, cheza michezo ya kasino kwa dau la kuanzia Tsh 400/= naUshinde Tsh 4,750,000/=
KANUNI ZA KUWA MSHINDI
Promosheni hii imeanza 05.06. 2024, bonasi za kasinozitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kilasiku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino yamtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.
Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.
Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwawachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wapromosheni ni:
Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kuchezakwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:
• Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Pili: 1,250,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Tatu: 500,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Nne: 250,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Tano: 250,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya 6-10: Mizunguko ya bure -300 kwenye Slot yaPIA
• Nafasi ya 11-20: Mizunguko ya bure -200 kwenye Slot yaPIA
• Nafasi ya 21-30: Mizunguko ya bure- 100 kwenye Slot yaPIA
• Nafasi ya 31-40: Mizunguko ya bure -50 kwenye Slot yaPIA
Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitajikuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenyeakaunti ya pesa halisi).
Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko yabure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao sizaidi ya saa 13:00 AM tarehe 19.06.2024.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezoya kasino ya mtandaoni upate ushindikirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovutiya meridianbet.
Leave a comment