Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Biashara Promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ yazinduliwa, wateja kukopeshwa bila riba
Biashara

Promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ yazinduliwa, wateja kukopeshwa bila riba

Spread the love

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’  kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Infinix kila mwaka wamekuwa wakiutumia mwezi wa nane kama mwezi wa Infinix kwa kuwafikia wateja wake kupitia ofa mbalimbali ikiwemo unafuu wa bei, zawadi kwa wateja, matamasha lengo likiwa kutoa fursa kwakila mwenye kutamani kuishi kiditali kuweza kufanya hivyokwa gharama nafuu.

“Promosheni ya JIPATE NA INFINIX inafanyika kwa kipindi cha Mwezi mzima jijini Dar es Salaam na mikoani pia ambapo ndani ya msimu huu ukinunua simu hizi za Infinix, Note 30, Note 30 pro, Note 30 vip, Zero ultra, Hot 30, Hot 30i, Hot 30 Play na Smart 7 utajiweka kwenye nafasi kupataJokofu, pikipiki, Laptop na zawadi nyingine nyingi”, aliyasema hayo Msanii wa kizazi kipya Frida Amani ambayendio balozi wa promosheni hii.

Balozi wa Jipate na Infinix, Frida Amani akizungumza na wateja siku ya uzinduzi.

Aliongeza, nimekuwa mwanafamilia wa Infinix kwa mudamrefu tangu kipindi cha Infinix HOT 10T na hadi sasanimekuwa nikivutiwa sana na simu za kampuni hii kikubwa kinachotofautisha simu za Infinix na zingine ni uhimili wasimu kukaa na chaji kwa muda mrefu simu za Infinix zipoimara sana ili kuthibitisha hili nunua Infinix mkoa wowoteuliopo na jambo jema zaidi ukihitaji huduma ya kukopa ipokwa simu zote za Infinix na Riba imeondolewa kabisa kwaInfinix NOTE 30”.

Infinix Note 30 ilizinduliwa rasmi nchini Tanzania mwezi Juni mwaka huu ni simu yenye sifa nyingi na sifa kubwa ikiwa ni ya fast chaji ya watt 33 inauwezo mkubwa wakupitisha nishart kwenda kwenye battery na kwa muda wadakika 30 inakupa asilimia 70% ya chaji.

Kwa maelezo zaidi tembelea @infinixmobiletz au wapigie 0659987284.

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Wild 81 malipo kwa njia 81 Meridianbet kasino

Spread the love Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sanaambao utakufurahisha....

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

Spread the loveSERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh...

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

Spread the love  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

error: Content is protected !!