Malinzi, Mwesigwa bado ngoma mbichi

JAMAL Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa sambamba na Mhasibu wa shirikisho hilo, Nsiande Isawafo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu katika mwendelezo wa kesi yao, anaandika Mwandishi Wetu.

Wahusika hao wamesomewa mashitaka yao na kisha kurejeshwa rumande kutokana na upelelezi kutokamilika ambapo sasa watarejeshwa mahakamani Agosti 11, mwaka huu.

JAMAL Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa sambamba na Mhasibu wa shirikisho hilo, Nsiande Isawafo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu katika mwendelezo wa kesi yao, anaandika Mwandishi Wetu. Wahusika hao wamesomewa mashitaka yao na kisha kurejeshwa rumande kutokana na upelelezi kutokamilika ambapo sasa watarejeshwa mahakamani Agosti 11, mwaka huu.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube