Friday , 28 June 2024
Home Habari Mchanganyiko Madereva bodaboda wapewa ujumbe
Habari Mchanganyiko

Madereva bodaboda wapewa ujumbe

Spread the love

MADEREVA wawanaosafirirsha abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), wametakiwa kuendelea kufanya shughuli zao kwa umakini kwa kuwa kazi hiyo ndiyo inayowapa riziki ya kuendesha maisha yao na familia zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Wito huo umetolewa leo Jumatano na Mwanaharakati Bihimba Mpaya, wakati anakibidhi msaada wa pikipiki tatu kwenye kikundi cha Bodaboda Kivule, kilichopo jijini Dar es Salaam.

Bihimba ambaye ni mlezi wa kikundi hicho, amesema kuna baadhi ya bodaboda wamefanikiwa kujenga nyumba na kujikwamua kiuchumi kupitia kazi hiyo.

“Leo nikiongea na vijana wangu nilichowaambia wafanye kazi kwa bidii na kwa kifua mbele kwa kuwa ni bodaboda ni kazi kama zilivyo kazi zingine ndio maana vijana wameweza kupanga vyumba vya kuishi na familia zao Hadi wengine wamenunua viwanja na wanaanza kujenga,” amesema Bihimba.

Bihimba amesema ametoa msaada wa pikipiki hizo ili kuwasaidia  vijana wengine wasiokuwa nazo waweze kujiajiri.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mwinyi aipa tano Oryx kwa ujenzi wa bohari ya kuhifadhia gesi Znz

Spread the loveRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Watanzania waonywa kutotumia uchaguzi kuvuna hela

Spread the loveWATANZANIA wametakiwa kutotumia uchaguzi kuwa wakati wa mavuno ya pesa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

MNEC CCM Rukwa atofautiana na Serikali kufungwa uvuvi Ziwa Tanganyika

Spread the loveWakati Serikali ikiwa imefunga shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa gesi yaja na mitungi ya bei nafuu kwa wanafunzi vyuo vikuu

Spread the loveKampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya...

error: Content is protected !!