Sunday , 30 June 2024
Home Habari Mchanganyiko 14 wafa lori la kokoto likiparamia coster, hiace
Habari MchanganyikoTangulizi

14 wafa lori la kokoto likiparamia coster, hiace

Spread the love

 

WATU 14 wamefariki 14 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jijini Mbeya baada lori moja lililokuwa limebeba kokoto kuparamia basi dogo aina ya Coaster lenye linalofanya kazi Mbeya-Tunduma, Hiace, bajaji pamoja na bodaboda. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea).

Akizungumzia ajali hiyo iliyotokea katika mteremko wa Mlima Mbembela jijini hum oleo Jumatano, Mkuu wa mkoa huo, Juma Homera amesema kati ya vifo hivyo 14, nane ni wanaume akiwemo mtoto wa umri wa miaka 3-4  pamoja na wanawake sita.

Aidha, amesema majeruhi wa ajali hiyo ni 17. mlima bembera jijini Mbeya.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mpina amng’ang’ania Bashe, kumburuza mahakamani pamoja na bodi ya sukari

Spread the loveMbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema amenuia kumpeleka mahakamani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Majahazi yadakwa na madumu 1,731 ya mafuta ya kupikia

Spread the loveKikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es Salaam kimekamata majahazi...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ualbino wafikishwa mahakamani

Spread the loveWATUHUMIWA wa mauaji ya Asimwe Novath, mtoto mwenye ualbino, wamefikishwa...

Habari Mchanganyiko

Sangoma awaponza vijeba, watupwa jela maisha kwa kubaka wanafunzi

Spread the loveMAHAKAMA ya wilaya Nkasi Mkoani Rukwa, imemhukumu kifungo cha maisha...

error: Content is protected !!